Nasaidia mtoto mluhya hapa kufanya hesabu ya minus. Sa nkaona ntumie chakula kumuelezea. Nkamuuliza, ukiwa na chapati tano, utoe mbili ni ngapy zitabaki? Akaniambia, 'Aiii,! nkiwa na kachai, akuna kitu itabaki. '.
😂😂😂😂😂😂
Niokotwe Bungoma!!!!
No comments
Post a Comment