Responsive Ad Slot

Latest

latest

Uoga ni Fikira

Friday, May 5, 2017

/ by Kevin

Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka  Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilipokua hai nilikuwa naogopa sana . Wakashtuka. Ungeona vile wamekimbia!!! Wamepita makaburini peke yao bila kuogopa tene

*Sipendagi kufuatwa fautwa na sipendi ujinga mm😏😏😏*

No comments

Post a Comment

Don't Miss
© all rights reserved
made with by templateszoo